kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 20,142
- 24,432
Kuna kamanda amenifurahisha sana anataka watu wasile wala wasitembeleane eti kisa kuna kamanda yupo hospitali,kuna miili imeokotwa baharini.
Kwani kabla ya utawala huu miili ilikuwa haiokotwi baharini
na ule mchezo wenu wa kwenda kuchukua maiti zisizo na ndugu na kufanya mpango wa kuzitupa baharini ili Serikali ionekane inaua tumewashtukia.
Kamanda hataki watu watembeleane kisa mkwe yupo mahabusu ,
kama Babu Seya katoka kwanini watu wasitembeleane,kamanda anasema watu wanatekwa.
Mikutano hakuna lakini yeye amewanyima haki wafuasi wake baada ya kujitoa kwenye chaguzi.
Kamanda huyu yeye ni haki yake na kauli ya chama kurusha misiba ya mbwa
na makamanda makofi pwaa pwaa pwaa.
Kamanda mwingine anataka aone reli imekamilika ndio watu watembeleane.
Ajue pesa za kujenga reli zitapatikana wapi nani atatoa ndio watu watembeleane. Hapa inaonyesha makanda wamechanganyikiwa
Kamanda mkuu amekasirika kwanini hakua kwenye msafara akapata picha akiwa na magwanda magogoni safari hii si ruksa magwanda kuingia ikulu.
Inaonekana ujasusi wa kamanda yerinko nyerere umefeli maana gari ya mjumbe ilikatika sterling road na kuelekea magogoni bila wao kujua
au watu hawasalimiani asubuhi na kujua ratiba au mjumbe aliwazuga kwa kujua akiwaambia watavuruga mchongo wake wa kukutana na mkulu.
Makamanda inapouma ni hapa pasipojulikana watu hawa wamezungumza nini.
Ushauri makamanda watu wale walikua chama kimoja wamefanya kazi Serikali moja msihofu kusalimiana na kutembeleana.
Makamanda mkumbuke mjumbe ni maarufu kuliko chama chenu haitaji mbeleko isiopokua makamanda ndio wanahitaji mbeleko.
Hitimisho uwanja wa taifa:Ridhiwani baba yako hajambo!