Wiki ya utata kwa makamanda

Wiki ya utata kwa makamanda

Kila binaadam ana mama na lazima awe na gene yake. Ndiyo maana katika DNA hata mama anahusika. Ni kosa kuuliza jibu, na kila mtu lazima awe na tabia kama za wazazi wake. Hivyo unajaribu kupotosha ukweli kuwa hakuwa anamtusi
Kumtaja tu mzazi humu kwa hoja zetu za kubadilishana mawazo, ni kama kumdhalilisha, ni kweli kuna watu wanakera, ni bora kma mtu amekutukana umpe zake live bila kuwahusisha.
 
Kuna kamanda amenifurahisha sana anataka watu wasile wala wasitembeleane eti kisa kuna kamanda yupo hospitali,kuna miili imeokotwa baharini.

Kwani kabla ya utawala huu miili ilikuwa haiokotwi baharini
na ule mchezo wenu wa kwenda kuchukua maiti zisizo na ndugu na kufanya mpango wa kuzitupa baharini ili Serikali ionekane inaua tumewashtukia.

Kamanda hataki watu watembeleane kisa mkwe yupo mahabusu ,
kama Babu Seya katoka kwanini watu wasitembeleane,kamanda anasema watu wanatekwa.

Mikutano hakuna lakini yeye amewanyima haki wafuasi wake baada ya kujitoa kwenye chaguzi.

Kamanda huyu yeye ni haki yake na kauli ya chama kurusha misiba ya mbwa
na makamanda makofi pwaa pwaa pwaa.

Kamanda mwingine anataka aone reli imekamilika ndio watu watembeleane.

Ajue pesa za kujenga reli zitapatikana wapi nani atatoa ndio watu watembeleane. Hapa inaonyesha makanda wamechanganyikiwa

Kamanda mkuu amekasirika kwanini hakua kwenye msafara akapata picha akiwa na magwanda magogoni safari hii si ruksa magwanda kuingia ikulu.

Inaonekana ujasusi wa kamanda yerinko nyerere umefeli maana gari ya mjumbe ilikatika sterling road na kuelekea magogoni bila wao kujua
au watu hawasalimiani asubuhi na kujua ratiba au mjumbe aliwazuga kwa kujua akiwaambia watavuruga mchongo wake wa kukutana na mkulu.

Makamanda inapouma ni hapa pasipojulikana watu hawa wamezungumza nini.

Ushauri makamanda watu wale walikua chama kimoja wamefanya kazi Serikali moja msihofu kusalimiana na kutembeleana.

Makamanda mkumbuke mjumbe ni maarufu kuliko chama chenu haitaji mbeleko isiopokua makamanda ndio wanahitaji mbeleko.

Hitimisho uwanja wa taifa:Ridhiwani baba yako hajambo!
Tena litakuwa li mwezi kwa makamanda uchwara kuumia

Kuna lile dereva la mropokaji eti limepelekwa ulaya ili lisihojiwe
 
Hitimisho uwanja wa taifa? Unamaanisha?
 
Tena litakuwa li mwezi kwa makamanda uchwara kuumia

Kuna lile dereva la mropokaji eti limepelekwa ulaya ili lisihojiwe
Aibu chama kinamkingia kifua mtuhumiwa namba moja!
 
7baa78c67e150c7b02befbea2c1dfa2f.jpg
Hahaa kwa picha kama hii ni ngumu wanainchi wazalendo na jumuiya za kimataifa zinazojitambua kukubali kwamba jamaa ni dikteta.

Naona swagger ya kumzushia udikteta CD imekwama mziki hauchezeki.
 
Hahaa kwa picha kama hii ni ngumu wanainchi wazalendo na jumuiya za kimataifa zinazojitambua kukubali kwamba jamaa ni dikteta.

Naona swagger ya kumzushia udikteta CD imekwama mziki hauchezeki.
Mbowe,lema na lissu wamedhihirisha wao ndio madikteta hawataki wengine waongee ndani chadema!
 
Mbowe,lema na lissu wamedhihirisha wao ndio madikteta hawataki wengine waongee ndani chadema!
Wamesahau walikuwa wanapiga kelele wabunge wa CCM wakamtembelee Lema kule Kisongo Jela, Wakamtembelee Lissu Nairobi Hospital.

Walikuwa wanasema siasa sio uhasama. Sasa mjumbe wa kamati kuu katekeleza kwa vitendo huu ushauri leo wanapiga kelele na vitisho.
 
Hawajui walitendalo!
 
Hujatukanwa mfano mkuu, umetoa tu maoni yako mtu anakutukania mzazi wako, ni fair kweli, bora kma umeanza kutukana mkuu Retired, lkn unaweka hoja yako tu, tayari mtu anakwambia unawaza kama matako ya baba yako, is that fair, hii tabia inabidi tuikemee mkuu.
ukitaka kujua kama mtu yupo `mind compromised' mwangalie jinsi anavyo respond hata ktk ishu ndogondogo. hata ukiamua kujibizana nae wewe ndo utaonekana wa ajabu.
 
Back
Top Bottom