Gotze Giyani
Senior Member
- Feb 28, 2022
- 143
- 212
Wadau habarini za muda huu kuna tatizo gani mbona ni wiki 2 inaisha tunashindwa kununua Hisa za CRDB nimewasilina na DSE na broker Mara zaidi ya 5 wanasema shida ni kwenye market hivyo wataalamu wa uchumi na Hisa naombeni msaada wenu je vipi kuhusu Hisa za DSE nazo zinagawio kama za CRDB.Maana hadi sasa naona hisa za trillion 4 kitu ambacho hakuna kampuni kwenye DSE imefikia.