Kwendaaaaaaaaa...... hadi sasa
1: UDA iko inadunda na Riz1 anadunda tu...
2: ESCROW wezi wana dunda tu
3: Walio uza twiga wako wanatanua..
4: Wauaji wa Tembo wako huru tu
5: Mikataba ya gesi, mafuta na madini hakuna kitu amesema hadi sasa, inabakia siri hata kufanyia review hakuna, ndio nn
6: TRL, mabehewa feki, hakuna kitu amesema...
7: ATCL, Magufuli kakaa kimyaaa... why
8: Drug lords wako wanatanua tu, Nzowa si anawajua wote, Magufuli angetoa order tu wanawekwa ndani... Nzowa anaowajua wooote
9: Bandari ya UFISADI Bagamoyo, hata BUNGE haijui nn kinaendelea, Magufuli kakaa kimyaaaaaaa, kama haoni, Bagamoyo port is the biggest disaster to our country, bcoz there are rumors that will be operated 50yrs FREELY and without tax, by CHINESE ARMY... that is the most worst ever contract our country could have, na ukifuatiwa ule wa Mafuta na Gesi, ulipitishwa bungeni kwa dharura kama vita vile...
10: Umiliki wa Lake Oil, Lake Gas, utata mtupu, wachunguzwe wamiliki wake... it looks JK family owns it... ni kosa kubwa...!!! Ila waarab ndio wanasimamia...
11: Home Shopping Center, Magufuli kakaa kimyaaaaaaaaa... 😨 kwani
hajui jamani..?
12: IPTL... IPTL... IPTL... IPTL... esp. capacity charges... kila mwezi inapokea tsh. 4 bil, as capacity charges... na kinyume kabisa na maagizo ya Bunge... na Magufuli yuko kimyaaaaaaaaaaaaa😨😠😠
13: TANAPA.... NCAA, na WANYAMA PORI ni wa kupiga chini haraka sana viongozi wao.... huko ufisadi ni wa kutisha, hasa ktk VITALU VYA UWINDAJIIIIIII
Mm naona kakomaa na TRA tu, ni sawa kaanza vizuri hatukatai, lkn je na hao wengine..?