kwanza unachepua, mapenzi mototo.
.........................................................Wakati taasisi pamoja na jamii zikiendelea kuhamasisha kuhusu swala la wanajamii kuacha michepuko kwani sio dili,uku baadhi ya wengine ndo kwanza wanaipalilia, kuna jamaa yangu mmoja ivi yeye ameoa wiki mbili zilizopita yaani ndoa ni bado mbichi kama ni mti ndo kwanza unachepua, lakini anayoyafanya ni HATAREEEE yaani ameanza mchepuko ajataka hata kusubil ata mwezi. ana ex wake alomuucha nakwenda kuuoa uyo aliyenae sa iv, lakini karudisha majeshi kwake tena na mapenzi mototo... sa mi apa najiuliza alomuoa akumpenda ama alilazimishwa!!!!! yaani akutaka ata afaiid ndoa yake jamaniii wanaumeeee nyinyi ni HATAREEEEEEEE...
Wakati taasisi pamoja na jamii zikiendelea kuhamasisha kuhusu swala la wanajamii kuacha michepuko kwani sio dili,uku baadhi ya wengine ndo kwanza wanaipalilia, kuna jamaa yangu mmoja ivi yeye ameoa wiki mbili zilizopita yaani ndoa ni bado mbichi kama ni mti ndo kwanza unachepua, lakini anayoyafanya ni HATAREEEE yaani ameanza mchepuko ajataka hata kusubil ata mwezi. ana ex wake alomuucha nakwenda kuuoa uyo aliyenae sa iv, lakini karudisha majeshi kwake tena na mapenzi mototo... sa mi apa najiuliza alomuoa akumpenda ama alilazimishwa!!!!! yaani akutaka ata afaiid ndoa yake jamaniii wanaumeeee nyinyi ni HATAREEEEEEEE...
BASI achana nae, ayasubiri majanga....Nimemuuliza hajanipa jibu....
Jukwaa la lugha......
ngoja yakitokea ndio nawe utayaona....Majanga yapi???????