Planett
JF-Expert Member
- Mar 20, 2014
- 10,570
- 16,358
hii nyungu season 3 au? ngoja niiscreenshot kabisa.Jivukize na maji ya chumvi tuuu
![]()
Kuna kitu zaidi ya Corona Tanzania na ni kibaya sana
Ni ugonjwa ama ni magonjwa yanayoenda sambamba na corona, hayauwi kama corona lakini yanapukutisha uchumi wa watu na wa nchi kwa matibabu na vifaa tiba. Ni magonjwa yanayokwenda sambamba na corona inayopukutisha watu kwa kasi ya aina yake lakini mamlaka ziko kimya kabisa. Mahospitali yetu...www.jamiiforums.com
Kuna kitu zaidi ya Corona Tanzania na ni kibaya sana