Wiki mbili naumwa homa kali sana

Wiki mbili naumwa homa kali sana

Anna pita

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2012
Posts
227
Reaction score
427
Nina wiki 2 naumwa homa kali sana nimeenda hospitali 3 tofauti naambiwa sina maralia Wala uti wala typhoid, nilipewa tu pcm na amox sababu ya kikohozi.

Leo siku 11 homa ikishuka kidogo inapanda tena natetemeka, nguvu Sina. Nikivuta hewa kwa ndani kifua kinauma na amox nimemaliza. Ni mjamzito miezi 6. Homa haiponi jamani.
 
Ninawiki 2 naumwa homa kali Sana nimeenda hosp 3 tofauti naambiwa Sina maralia Wala uti wala typhoid nilipewa tu pcm na amox sababu ya kikohozi
Leo siku 11 homa ikishuka kidogo inapanda tena natetemeka ...nguvu Sina ..nikivuta hewa kwa ndani kifua kinauma na amox nimemaliza ...Ni mjamzito miez 6 ..homa haiponi jaman
Pole sana.

Kwa sababu ni mjamzito, nakushauri uende hospitali ya rufaa (kuanzia level ya hospitali angalau ya mkoa) haraka sana. Hospitali ambayo wataenda beyond Malaria, Typhoid, UTI.

Hizi ni zama za tofauti sana. Usipuuzie tafadhali; au hospitali ya private kubwa yenye levels hizo. Usipuuzie tafadhali kwa sababu ya hali yako ya ujauzito, mambo yanaweza kuwa complex zaidi. Nakuomba sana kimbia hospitali KUBWA upesi sana kuokoa maisha yako na maisha ya mtoto.
Anna pita
 
Pole Sana. Rudi hospital mpendwa maana hiyo hali na huo ujauzito upo kwenye hatari
 
Dah pole sana mkuu, tembelea jukwaa la JF doctor, kuna mdau alitoa anaitwa TUMBOO ushuda jinsi mchanganyiko wa limao na tango ulivyomsaidia. Jaribu hiyo huenda ikawa msaada kwako. Hali mtaani sio nzuri kabisa. Napendekeza ufanye mazoezi pia.
 
Mkuu wahi hospitali ya serikali ya wilaya au mkoa.

Huduma huko zimeboreshwa.

Wataijua shida yako, wanazo dawa nyingi siku hizi. Mpaka tiba ya nyungu na hata dawa za Madagascar wanatoa.
 
Ninawiki 2 naumwa homa kali Sana nimeenda hosp 3 tofauti naambiwa Sina maralia Wala uti wala typhoid nilipewa tu pcm na amox sababu ya kikohozi
Leo siku 11 homa ikishuka kidogo inapanda tena natetemeka ...nguvu Sina ..nikivuta hewa kwa ndani kifua kinauma na amox nimemaliza ...Ni mjamzito miez 6 ..homa haiponi jaman
Ulienda hospt ipi?? Dispensary, medical center hspt au referral hospt. Tuanzie hapo Kwanza.
 
Ulienda hospt ipi. ???,dispensary, medical center hspt,au referral hospt.Tuanzie hapo Kwanza.
Hosp ya wilaya baada ya majibu neg nikaenda binafsi hosp 2 tofauti kote Sina ugonjwa
 
Ungetakiwa muda huu uwahi hospital mpendwa linapokuja suala la afya yako kwa nyakati hizi ambazo uhai upo mkononi unatakiwa uwe na maamuzi ya haraka kuliko haraka yenyewe.
 
Ungetakiwa muda huu uwahi hospital mpendwa linapokuja suala la afya yako kwa nyakati hizi ambazo uhai upo mkononi unatakiwa uwe na maamuzi ya haraka kuliko haraka yenyewe.
Hosp nimeenda 3 tofaut naambiwa Sina tatizo nikapewa pcm na amox tu.
 
Hosp nimeenda 3 tofaut naambiwa Sina tatizo nikapewa pcm na amox tu
Pole sana.
Kwa sababu ni mjamzito, nakushauri uende hospitali ya rufaa (kuanzia level ya hospitali angalau ya mkoa) haraka sana. Hospitali ambayo wataenda beyond Malaria, Typhoid, UTI.

Hizi ni zama za tofauti sana. Usipuuzie tafadhali; au hospitali ya private kubwa yenye levels hizo. Usipuuzie tafadhali kwa sababu ya hali yako ya ujauzito, mambo yanaweza kuwa complex zaidi. Nakuomba sana kimbia hospitali KUBWA upesi sana kuokoa maisha yako na maisha ya mtoto.

Anna pita
 
Mkuu wahi hospitali ya serikali ya wilaya au mkoa.

Huduma huko zimeboreshwa.

Wataijua shida yako, wanazo dawa nyingi siku hizi. Mpaka tiba ya nyungu na hata dawa za Madagascar wanatoa.
Daaa wewe jamaa banaa
 
Nina wiki 2 naumwa homa kali sana nimeenda hospitali 3 tofauti naambiwa sina maralia Wala uti wala typhoid, nilipewa tu pcm na amox sababu ya kikohozi. Leo siku 11 homa ikishuka kidogo inapanda tena natetemeka... nguvu Sina.. nikivuta hewa kwa ndani kifua kinauma na amox nimemaliza... Ni mjamzito miezi 6.. homa haiponi jamani
Jivukize na maji ya chumvi tuuu

Kuna kitu zaidi ya Corona Tanzania na ni kibaya sana
 
Pole sana.
Kwa sababu ni mjamzito, nakushauri uende hospitali ya rufaa (kuanzia level ya hospitali angalau ya mkoa) haraka sana. Hospitali ambayo wataenda beyond Malaria, Typhoid, UTI. Hizi ni zama za tofauti sana. Usipuuzie tafadhali; au hospitali ya private kubwa yenye levels hizo. Usipuuzie tafadhali kwa sababu ya hali yako ya ujauzito, mambo yanaweza kuwa complex zaidi. Nakuomba sana kimbia hospitali KUBWA upesi sana kuokoa maisha yako na maisha ya mtoto.
Anna pita
Haya
 
Back
Top Bottom