Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,899
Mwandosya sidhani, atakuwa Membe tuKama sio Membe au Mwandosya sijui...
Naye kanunuliwa?
Halafu isije kuwa ni propaganda zenu tu nyie CHADEMA na CCM maana pia kuna sehemu nimeona mtu anadai kuna watu wakubwa watahama CHADEMA kurudi CCM.
Same ‘ol bullshit.
angesubiri mwakani/karibia na uchaguzi kama ni president material kama ilivyo kuwa kwa Ngoyai ingeleta amsha amsha zaidi