Tetesi: Wiki ijayo nchi kutikisika, mtu mkubwa sana kukihama Chama cha Mapinduzi

Hii nchi inakoelekea Mungu anajuwa, maana tumekuwa kama Simba na Yanga maneno mengi mpira hakuna. badala watu kujikita na sera za vyama watutoe katika uchumi huu tuko busy kujadili watu. Maana hata sijui nianzie wapi mtu anahama kutoka upande mmoja kwenda upande mwingine hiyo inatusaidia nini sisi kama nchi na bahati mbaya hata wakubwa wameingia katika mitego hiyo sasa sijui ni kusudi au wameishiwa tu. Jamani turudini katika misingi ya kushindana kwa hoja chama na chama au kama tumeamua tujadili watu basi ni vizuri tukabadili katiba kuruhusu mgombea binafsi halafu tuone hao wenye majina watafanya nini peke yao. Taifa limepoteza mwelekeo lakini is not too late...
 
Hiyo wiki ijayo bado haijafika mpaka leo tokea tarehe 9 Dec 2017!!!??????
Mzandiki katika ubora wako kutwa unaumbuka.
 
Back
Top Bottom