Wikendi spesho kwa wana CC

Wikendi spesho kwa wana CC

Lucas

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2011
Posts
2,457
Reaction score
1,111


habari wana CC salamu zangu kupitia hii Afrcan medley tufurahi pamoja...... tukiwa na stress free weekend
 
Last edited by a moderator:
Weekend yangu imenikuta pande za Mtwara huku...
 
Sometimeymz unapripea na kafanksheni Lucas ! Unatuinvaiti hom yako, twaja kupeleka pwani! Griting kavukavu zinapoteza mshawasha!
 
Last edited by a moderator:
Sometimeymz unapripea na kafanksheni Lucas ! Unatuinvaiti hom yako, twaja kupeleka pwani! Griting kavukavu zinapoteza mshawasha!

Haina shida mkuu, next time nitakuandalia na maji ya kunywa na kishushio ugali wa kisukuma ule mwekundu, si unaufahamu pale kwa mama Nyanguli?
 
Back
Top Bottom