Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,346
- 26,138
Waibwaga Manchester City kwa bao moja kwa bila. Ni bao la dakika ya 91.Man City yamaliza msimu mikono mitupu. Hongera zao Wigan Athletic
Habari hii siyo nzuri kwangu.
Sijui niwe mpenzi wa team hii!
Are you sure that they've already relegated?
Japo imeshuka Wigan lakini Man C cha
moto wamekiona vijana wamehakikisha
FA CUP wanachukua.
Hureee Wigan Keep it Up !