Kwa mara nyingine waspain wamedhihirisha wao ni moto kuanzia wachezaji na meneja,sasa angalia mzaliwa wa jimbo la Catalunya mji wa Balaguer mchezaji wa zamani Real Zaragoza(Moro Utd) kawapa kombe la FA Cup kwa mara ya kwanza katika historia yao si mwingine bali ni Roberto(Bob) Martinez Monteliue,sawa wachukieni lakini haki yao wapeni waspain wanajua.