Wife of Yesterday ,Today and Future! pictures

qq.com

JF-Expert Member
Jan 9, 2012
367
123
wife1.jpg

haya mlioko kwenye ndoa
 
Juzi niliona mdada mmoja anaitwa Joyce Kiria akiyapigia sana kampeni haya...
 
haya mimi niliona,huyu dada ni mjinga sana
anayotaka ni ngumu sana,eti mwanaume amchemshie maji ya kuoga mkewe na kumpelekea maliwatoni
 
Naamini tutakuwa hatumjadili mtu, but tunajadili yale aliyokuwa anaongea...
Eti sio vibaya kwa haouse girl kufanya usafi kwenye chumba cha baba na mama wenye nyumba, as hata hotelini wahudumu ndio wanaofanya!!!
 
no no,kama mtu anachemsha katika public kupitia tv show si viabaya kumchana live,
 
Eti sio vibaya kwa haouse girl kufanya usafi kwenye chumba cha baba na mama wenye nyumba, as hata hotelini wahudumu ndio wanaofanya!!!

full cr*p.... ndio ukombozi wa mwanamke huo?
 
Mbaya zaidi kawakusanya mahausgel kibao, alafu ndo anawafundisha hivyo, na anatetea kuwa house girl lazima afanye kazi zote hapo ndani as yeye ni mfanyakazi wa ndani!!!
 
Naamini tutakuwa hatumjadili mtu, but tunajadili yale aliyokuwa anaongea...
Eti sio vibaya kwa haouse girl kufanya usafi kwenye chumba cha baba na mama wenye nyumba, as hata hotelini wahudumu ndio wanaofanya!!!

Elimu yake ni darasa la saba hataki kwenda shule anaona pale ndio kafika, nilishawahi kumsahuri asome QT ili pate elimu zaidi akasema ni kupoteza muda, darasa la saba anataka kwenda chuo cha uandishi wa habari wapi na wapi.

Alikataa shule akakimbilia ufanya kazi za u-house girl kwa wahindi ndio kazi aliokuwa anaifanya kabla ya kuingia kutangaza sasa kwasababu alikuwa anafanya usafi kwa wahindi anafanya kote chumbani hadi kufua chupi zao naona naye anataka mahouse girl wafanye kama alivyokuwa anatumikishwa. Tena anasema hata kufua chupi ya boss wako sio shida kwani nimoja ya kazi za housegirl nilimtoa thamani kwa kweli.

Mwanamke mwenye akili timamu hawezi kumruhusi housegirl kufanya usafi chumbani kwake wala kufua mashuka anayolalia na mumewe.

haya mimi niliona,huyu dada ni mjinga sana
anayotaka ni ngumu sana,eti mwanaume amchemshie maji ya kuoga mkewe na kumpelekea maliwatoni

Kama ni suala la kumpelekea maji maliwatoni tu.. hiyo hapana.
Lakini akitaka kukogeshwa, anipigie simu tu. :croc:. Hiyo kazi nafanya free of charge..!!!:lol::lol::lol:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom