Wanaume wengi hupenda kuoa wanawake wenye tabia na mienendo mizuri (wife materials). Ndiyo maana kukawa na usemi kuwa uzuri wa mwanamke siyo urembo ni tabia.
Lakini imedhihirika pasipo shaka kuwa wanawake wengi ambao ni wife materials hawavutii kwa sura na shape. Wapo wapo tu na ndiyo maana wananyenyekea kwa wapenzi wao na watu wengine na hivyo kutafsiriwa kama wife materials.
Na hii ndiyo sababu ya wanaume wengi kuchepuka na kuwafuata hao wenye shape na sura zao nzuri ila wamepungukiwa tabia nzuri.
My take:
Ili usichepuke tafuta mke atakaye amsha hisia zako. Usiangalie tabia nzuri kwani wewe mzazi wake? Au wewe ni kasisi/shekhe? Unaenda kuitumia wapi hiyo tabia.
Lengo hasa (specific objective) la ndoa ni mgegedo. Sasa unaenda kuoa polygon kisa tu lina tabia nzuri, siku 2 unakuwa umelichoka unasikia kinyaa hata kufuatana nalo mtaani ama kulitoa out. Kwann unajibebesha dhambi bure?
Unachukua dubwana likizaa mzao mmoja linaonekana kama mamako mzazi. Mkiongozana linapewa shikamoo halafu wewe unaambiwa za saa hizi kaka.
Acheni hizo mwanamke ni shape na sura tabia nzuri akamuonyeshe baba yake.