Wife material

Alafu mukishapata wife material Wa hivyo then mnatafuta mchepuko mlaini mtoto mayai Wa kukusisimua.
 
Alafu mukishapata wife material Wa hivyo then mnatafuta mchepuko mlaini mtoto mayai Wa kukusisimua.
Hahahahaaaaaa...sasa kama akiwa bize mpaka kusahau majukumu ya chumbani hapo lazima kieleweke.
 
Alafu mukishapata wife material Wa hivyo then mnatafuta mchepuko mlaini mtoto mayai Wa kukusisimua.
Nikiwa na wife wa hivyo natulia tulii.....huku nikimshukuru muumba kwa kunibariki mke mwema..
 
wa namna hii
kujifungua
haitaji
operesheni
 
kwahiyo tuona tuje kufanya mke Bunda.
 
Huyu ndio anafaa kuwa mke wa mtu...sio hao wa kudeka deka....
Kweli huyu ukiwa naye kijijini ni wife material, lakini ukimleta Dar akakutana na manungayembe kwenye nyumba za kupanga wakamjaza ujinga utakoma mwenyewe
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…