KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 20,155
- 40,949
Mtani ukimuona kama huyo naomba...uniunganishe nae...twafadhaliaiseee
Kweli hao ndio aina ya wanawake tunawataka kwa karne hii ya kupambana na maisaha..........
Hapana mkuu huyu ni mjasiliamali...wa kati......huyu atakuwa mpishi wa mataputapu...
kileji mapipa kama hayo huwa wanatumia kupikia zagazaga...
huyo akiwa mkeo huna shida ya kulewa
huyu atakuwa mpishi wa mataputapu...
kileji mapipa kama hayo huwa wanatumia kupikia zagazaga...
Picha ya my wife wako tumeitoa moja kwa moja kutoka eneo lake la kazi..kwa hisani ya watu wa MAREKANI..........Picha ya my wife wangu mmeitoa wapi? Wekeni za wachumba zenu na nyinyi tuone.
Umenikumbusha mbali ulivyotaja hiyo kitu....aiseeeeeeeeeNa pia ile soft drink ya kienyeji, TOGWA.
Mtani ukimuona kama huyo naomba...uniunganishe nae...twafadhali
Haya mtani ngoja nikae mkao wakula......Usijal mtani fasta
Nimecheka sana kwa kweli. Hiyo ipo kuna Grocery bubu moja ubungo mwanamke anauza kuanzia unga, pipi mpaka pombe. Mume anabia 2 zake kila siku, yeye huwa anajichanganya na wateja sasa ole wa mteja umshobokee wife.Huyo anakununulia na fegi kabisa, we kazi yako ni kuwatia makofi walevi wanaoleta fujo tu.