Kivipi?
watu8 na lara 1 njoeni huku mnatafutwa
Ukiweza unicheki nikwambie kiaje....
umeongea point mkuu mtoto wa kiislamu ndo mtoto ao wengine wote hamna kitu pumba tupu. hasa ukipata between 18-23 years apo ndo utafurahia maisha. unapata mtoto wa kipemba unafundisha mwenyeo mabusu, na hapo ndipo utakapojua umuhimu wa ndoaView attachment 181762
Sifa pale inapostahili jamani tuwe tunawapa wausika. waislamu tumekuwa tunasimangwa sana kwa ukatili. mabovu ya kujilipua wenyewe, mara sijui nini, jana nimepata bahati ya kusikia mawaidha kuhusu mwanamke wa kiislamu nimependa jumla yaani.
Mwanamke wa kiislamu mwali si wake, ni wangu mwanaume, utataka nini zaidi?
Asipinge mume, awe malaya kwa mume wake tu, yaani utataka nini zaidi? anatakiwa kujipaka mafuta ya kunukia ukianza usiku ukute ananukia vizuri.
Mwili wake ufunikwe niwe naona peke yangu, kubishana bishana na mume mwiko.
Hawa watu tunawalaumu kwa mengi, lakini kwenye hili la mke wamekaa vizuri sana.
Nimekaa nasikiliza mawaidha yale hamu ya kupata mmoja imenijia kasi ya radi.
Hawa wa kwetu kidomo-domo wamezidi, haki sawa haki sawa? nani kakwambia Mungu alipanga haki sawa? na wala hauitaji kufanya utafiti, we subiri tu lara 1 aanzishe uzi hapa utaona wanavyotiririka.
Napataje huyu wife material jamani msaada tafadhali.
Unaweza hata kuni-pm
Hueleweki wala haujui maana ya life partner. Hatupo duniani ku exist bali ku coexist. God made us equally but different....changamsha akili na uache kujificha katika mawazo na "uwerevu" wa watu wengine. Halafu hayo wife material yake yapoje na yanatengenezwa na nini?
Sijakuelewa unamaanisha mwanamke wa kislamu ndo mfano wa kuigwa au?
umeongea point mkuu mtoto wa kiislamu ndo mtoto ao wengine wote hamna kitu pumba tupu. hasa ukipata between 18-23 years apo ndo utafurahia maisha. unapata mtoto wa kipemba unafundisha mwenyeo mabusu, na hapo ndipo utakapojua umuhimu wa ndoa
umeongea point mkuu mtoto wa kiislamu ndo mtoto ao wengine wote hamna kitu pumba tupu. hasa ukipata between 18-23 years apo ndo utafurahia maisha. unapata mtoto wa kipemba unafundisha mwenyeo mabusu, na hapo ndipo utakapojua umuhimu wa ndoa
naona haujanielewa weye. nimekwambia hawa kina mama wenye baibui wanalelewa vizuri sana yaani. mawaidha yale kama kweli yanafuatwa basi katika zile baibui pamejificha maaliiii. af angalia umeshaanza ubishani hapahapa. ukija ndani si ndo itakuwa taabu kabisa? jifunzeni kwa wenzenu. Mume ni maalum!
yaani mafundisho yao ya utii kwa mume nimeyapenda sana yaani. ndo icho nilikuwa nasema.