Wife material

Wife material

Hazard CFC

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2015
Posts
16,633
Reaction score
38,733
Mambo vipi wazeeamama na wazeebaba,

Kuna dhana imejengeka sana kwa watu wengi haswa wanaopatikana mataifa yaliyopo matak..ni mwa dunia kuwa mwanamke anaependa umaskini na mwenye kuweza kuvumilia umaskini ndio wife material..
Huwa najiuliza mwanamke anaependa maisha flani ya hali ya juu hawezi kuwa wife material? Kwanini wanawake wanaoshi maisha yao to the fullest tunawaona kama hawafai kuolewa au kuwa na familia,?
Hii ni dhana potofu sana na wengi tunaamini hvyo, kuvumilia umaskini haiwezi kumfanya mwanamke akawa wife material moja kwa moja yapo mengi sana yakuangalia...

Wazeebaba tutiririke ni sifa zipi ukiziona kwa mwanamke wala hujiulizi mara mbili kwenda kwao kujitambulisha?
 
Upo sawa mkuu...kikubwq ni upendo tu mengine yatanyooka
Mi nafikiri hayo ni mawazo yako binafsi ni sio kosa, ila kwangu kwa ujumla mapenzi ni hisia na sio maisha mazuri au kuvumilia umaskini. Ukipata m/mke ambae ana hisia na ww kila kitu kitaenda poa. Napita Tu.
 
Kabisa mkuu.....Kuna mzee mmoja alishawahi kuniambia kuwa vjana wengi miaka hii ndoa hazidumu kwa7bu tunaishi na "wake za watu wengine" na sio mkeo. Nilimuelewa sana yule mzee.
Mwanamke akikupenda na wewe ukampenda mna enjoy sana
 
Wife material anapimwa kwa vitu vingi na awe tayari kuishi maisha ya hali yeyote. Siyo kwenye good life awe poa ila ukishuka kiuchumi asepe!

Kwanza awe mzuri wa sura na akili na upendo wa dhati na hofu ya Mungu! Hii combination ikikubali mtafurahiana maishani mwenu na Mungu atawasaidia.
 
Mambo vipi wazeeamama na wazeebaba,

Kuna dhana imejengeka sana kwa watu wengi haswa wanaopatikana mataifa yaliyopo matak..ni mwa dunia kuwa mwanamke anaependa umaskini na mwenye kuweza kuvumilia umaskini ndio wife material..
Huwa najiuliza mwanamke anaependa maisha flani ya hali ya juu hawezi kuwa wife material? Kwanini wanawake wanaoshi maisha yao to the fullest tunawaona kama hawafai kuolewa au kuwa na familia,?
Hii ni dhana potofu sana na wengi tunaamini hvyo, kuvumilia umaskini haiwezi kumfanya mwanamke akawa wife material moja kwa moja yapo mengi sana yakuangalia...

Wazeebaba tutiririke ni sifa zipi ukiziona kwa mwanamke wala hujiulizi mara mbili kwenda kwao kujitambulisha?
Hapo matter siyo kutumbua maisha to the fullest. Kama mwanamke ni mtafutaji there is no problem.

Kwa kifupi me naweza kusema mwanamke anayemtegemea mwanaume wake kwa kila kitu, siku huyo mwanaume akifa. Watoto lazima wapate shida sana.
 
Back
Top Bottom