Huwa wanaharibika kumbe
Ni rahisi sana kupata visa ya kwenda Canada kuliko kumpata wife material!
Kwa wale waliowahi kuomba visa za Canada wanajua ugumu wake!
Kitu kinachosikitisha hasa ni kwamba hata kanisani tulipotegemea kuwapata hawa wife material hali ni mbaya sana tena sana hasa kwa waimba kwaya na mashemashi na viongozi mbalimbali!
Ee mwenyezi Mungu tusaidie hawa uliotupea kama wasaidizi wetu wamekuwa mizigo kwetu
Ukimchukua wife material na kuishi nae kihuni unategemea nn bro
Ni kweli, lakini kukiwa hakuna uhuni. Je awezi kubadilika?
Akibadilika mwenyewe mwenyewe hyo hakua wife material ila acting a wife material
Kweli na tena usithubutu kwenda kucheki eti DNA hapo ni kujitafutia makuu zaidi...as long as kazaliwa kwajo we tunza tu wa mwako huyo...kitanda hakizai kafilCha msingi tafuta wa kukuzalia basi..decency haipo siku hizi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahhhahhhahhaa.doh!..hahahah wife material anaanza na attitude yako tu. Ukiwa jau utakutana na Jau material tu![emoji23][emoji23][emoji23]
Umeshatengeneza lkn mazingira ya kuhifadhi hyo material kwa ubora ili ikitokea amepatikana hyo wife material, materials yasijeharibika kwa uhifadhi mbovu.
ndio maana yake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahhhahhhahhaa.doh!..
Jau material [emoji28]
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Ukitaka material nenda kiwandan.... Tukutane tuelewene tuheshimiane ikibidi tupendane tusongeshe maisha
tatizo mnataka wanawake wakuwapelekesha mtakavyo bahati mbaya tu wamebaki wachache sana
Mmh na humu wapo!?...sikujua.Umeoa kama bado njoo kwangu nikuoneshe wife material hapa usisahau kuja kusimulia jf.
Asante....wamekalia material, material wanaotaka material wenyewe sio material wengi tunadanga nao tu, wanataka kulelewa,, nguvu za kiume zenyewe siku hizi hawana alafu wanataka material achen utan bwanaKama unataka materials unakiwanda?
Zama zimebadilika kweli ndugu yangu kama bikira yenyewe ni tabu kuipata sembuse huyo wa pekee yako mkuu nawa wasasa hivi wanavyopenda demokrasia na maslahi tu bora mkuu ulete mchongo jinsi ya kupunguza umaskini nchini kwetu hivyo vitakuumiza kichwa bure!!!
Na wasipo badilika itakula kwaoAsante....wamekalia material, material wanaotaka material wenyewe sio material wengi tunadanga nao tu, wanataka kulelewa,, nguvu za kiume zenyewe siku hizi hawana alafu wanataka material achen utan bwana