The Undisputed
Senior Member
- Jan 22, 2018
- 197
- 331
Wanaume huwa tunatamani sana kupata wife material, yaani mwanamke mwenye sifa na staha za mke mwema.
Lakini tukiwapata tunawafanyia visa vingi na timbwili kila kukicha.
Hukiona mwanamke anakupa muda na attention yake, bro husijiulize mara mbili mbili, hukiona mwanamke ana kuuliza huko wapi, umekula, unafanya nn, kwa nn upo online whatsapp na hujamtext, sisi wanaume huanza kuona kuwa huyu mwanamke is too much, kwamba ana kera au ana wivu.
Japokuwa wengine huigiza ila kuna asilimia kubwa kwamba huyu mwanamke she is loyal, faithful na pia ana hofu ya kukupoteza.
Hachana na hawa visokolombwingo ambao wao kwa vile hawatusumbui na sisi ndio tunakazania hapo, ila unakuwa unapoteza tu mda wako, wao mapenzi kwao ni rahisi sana kama kuazima nguo ya mtoko, mwisho wa siku utausotesha moyo wako bure.