Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,029
- 52,507
sio alimuwacha ni alimuacha.. huko shule sijui mnaendaga kusomea ujinga!Kuna mtu alimuwacha mke kwa kuwa ana jamba sana.
Mwengine alimuwacha mke kwa kuwa ana sauti kali.
Kuna mtu alimuwacha mke kwa kuwa ana jamba sana
ahaaaa unaamka kama umechukuliwa msukulehahaaha..bado mateke umesahau.
akigeuka na spidi yake wengine wanarusha miguu hewani wakishusha ombea usikutane mfupa kwa mfupa
Kwahiyo sisi wachaga hatutakiwi kuolewa au?Wife material.
Awe na shepu. Sub woofer iwepo ya kiasi. Mpishi mzuri na asitoe toe chai . asiwemuongeaji saana. Asiwe mchagga
ahaaaa kihere here kinakuishaMke: Mume wangu .... Mume wangu... Mume wangu..
Mme: Nini bwana tunasumbuana usiku....
Mke: Naomba nigeuke mbavu zinani...(Kofi, kelbu).
Mme: Kuamshana usiku kwa mambo ya kipuuzi sitaki, mwili wako ruhusa uniombe mimi? Pumbavu..
Mke: (Huku akilia) Lak...laki...lakini mume wangu mimi ni wife material..
Mme: Shenzi sana tangu uwe wife material, Loan Board wamepunguza 15%? Mshahara nyongeza imepanda? Yule nanihii amejiuzulu? Usiniletee uchuro usiku huu mimi.
Mke: (Kilio kinazidi) ba....ba..ba..si nis..ame...he.
Mme: Wee shhhshhhh usipigie watu kelele.
Siku imeisha
koh koh unajambiwa sana eehKoh koh koh hapytuuuuu
kujamba kwani ni ulemabu si angetibiwa tu ? kuhusu sauti si aliisikia kabla hata ya kumuona au ilikuja kubadilika ndani?Kuna mtu alimuwacha mke kwa kuwa ana jamba sana.
Mwengine alimuwacha mke kwa kuwa ana sauti kali.
nadhani hataki wachagaKwahiyo sisi wachaga hatutakiwi kuolewa au?
Siyo alimuacha bali ni alimwacha.sio alimuwacha ni alimuacha.. huko shule sijui mnaendaga kusomea ujinga!
sio alimuwacha ni alimuacha.. huko shule sijui mnaendaga kusomea ujinga!