'Wife material' wapo humu!

Equation x umuoe huyo shangazi, sio mtu wa miaka 40 kaacha shughuli zake kakufata wewe af uje umchezee tu utapata laana
 
Hakika shangazi hakwenda kucheza😂

Nimempenda, maana hadi mtu anakuja kushuhudia manake anapewa huduma nzuri.

Nikiwa mkubwa nataka kuwa kama shangazi wifi🥰😂😂
Ebu njoo huku upate tuition kidogo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…