Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,592
- 63,082
- Thread starter
-
- #101
Unaweza kuwa naye rika mojaWeee Equation x em tuambie wifi yetu anafananaje?
Chibonge au kipotabo?
Ila jamani miaka 40 kumuita wifi naona kama namkosea heshima eti, me nitakua namuita shangazi au mamdogo bana😂😂
Sema tu hakuna shida au umekutana na h na wew😀Ningesema kitu lkn wanga wengi humu😂
"Shikamoo shangazi wifi"... Wacha nianze practice mapemaAu tuite shangazi wifi😀
😂😂😂Shangazi shemeji 🤣 au mamdogo shem/wifi
Gari kupeleka gereji mara kwa mara si vizuriAcha uoga
Ana umri wa shangazi yangu mkubwaUnaweza kuwa naye rika moja
Kweli linapoteza uboraGari kupeleka gereji mara kwa mara si vizuri
Gari kupeleka gereji mara kwa mara si vizuriAcha uoga
Marhaba wifi shangazi habari za huko hapo naweka Dela langu vizuri 😂😂😂"Shikamoo shangazi wifi"... Wacha nianze practice mapema
Hapo ulipounamadem kibaoHuyu ni msaidizi pale ninapokuwa mbali na family
Sawahaohao waliooa utawakuta kwenye nyuzi za masihara, love connect, mikasa ya lodge, na mashangazi[emoji23]
Hamna kinachoshangaza hapa....
Kiutu uzima nimekuelewa 😀Huwezi elewa yaani
🤣🤣🤣 Af mara ya kwanza tu kuonana, kagoma kurudi adi kashafikisha week 2Marhaba wifi shangazi habari za huko hapo naweka Dela langu vizuri 😂😂😂
Aaah wapi humu wachawi kibao hawataki nifurahi fambaf zao😂Sema tu hakuna shida au umekutana na h na wew😀
Kwakweli wiki mbili naona Alienda na shangazi kaja Ili apate malezi vizuri ya wifiyetu na chaajabu pamoja na wiki mbili zote kasema atarudi 😭Tena safar hii tumshauri ahamie tu😂😂🤣🤣🤣 Af mara ya kwanza tu kuonana, kagoma kurudi adi kashafikisha week 2
Kwahyo shangazi alienda na shangazi kaja au blaza alimnunulia nguo zingine. Au hayatuhusu😂😂
Ni jina la heshima sana hilo sema tu vijana wa ovyo wanataka kuliharibuUnataka kumuita shemeji 'shangazi' jina lenye umaarufu mbaya hapa jf ?? [emoji23]
🤣🤣🤣🤣🤣🤣shangazi inapendeza zaidi
😀 😀 😀Chezea umri umesonga af umeopoa kimasihara
Aah hata ningekua ni mimi ningempashia moto hadi maji ya kusukutua asubuhi mbona😂😂
Shost tuchukue maujuzi wa shangazi ohoo🤣
Hakika shangazi hakwenda kucheza😂Kwakweli wiki mbili naona Alienda na shangazi kaja Ili apate malezi vizuri ya wifiyetu na chaajabu pamoja na wiki mbili zote kasema atarudi 😭Tena safar hii tumshauri ahamie tu😂😂