Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 37,107
- 55,524
Kwa huyu mrembo niliyempata humu; nathibitisha, humu ndani bado kuna 'wife material'
Mnavyojua tena, sisi wazee mara nyingi huwa tunapenda warembo wachangamfu, wasio umiza vichwa , na wanao jitambua; siku moja wakuu, kuna mrembo mmoja alinivutia sana kutokana na namna anavyojenga hoja hapa jukwaani.
Nikajaribu kumpima kwa akili yangu ndogo, nikaona huyu atanifaa katika kubadilishana mawazo hapa na pale, pamoja na siku moja moja kwenda kutembelea shamba langu la mpunga huko kijijini.
Ikabidi nimfuate ndani ili kuthibitisha upeo wake wa kujenga hoja, kweli alikuwa chwan ''smart'' kichwani. Tukabadilishana abc, na hatimaye ikatulazimu mmoja wetu kusafiri na kumfuata mwenzie.
Kweli sijutii, ni mzuri wa umbo na sura, elimu na upeo wa kufikiri pia uko juu; ama kweli ana-fit kuwa na Equation x.
Akiamka asubuhi, ananipasia nguo, anapika chai, ananinywesha, anafanya usafi wa nyumba, anafua, ananivalia nguo za mitego mitego huku akitabasamu usoni; kwa wiki hizi mbili alizokaa kwangu, nathibitisha huyu ni 'wife material'.
Tumejikuta wote kwa pamoja tumeongezeka mwili na tumeng'ara kutokana na wote kimtazamo kufanana; ni mtu mzima kidogo 40yrs. Amezidi kunipa furaha na thamani zaidi katika haya maisha.
Kuanzia leo nampandisha cheo kutoka kuwa mchepuko na kuwa bi mdogo; hapa nilipo naandaa bajeti ndogo angalau katika sikukuu hizi, tupeane kampani zaidi.
Popote ulipo, jina linaishia na h; Equation x hategemei kukuacha leo wala kesho.
Huo ndio ushuhuda wangu, 'wife material' wapo humu.