Nimependa uchambuzi wako. Kwa maana nyingine mwanamke akiwa na mojawapo hajakamilikaWife material ni wanawake wa kaskazini, Nyasa.
Wife emotional ni Pwani
Wife spiritual ni ya Kati na Kanda ya ziwa (inaweza kuwa dark spirituality au light spirituality ).
Ila exception is not a rule.
Kuna variables pia.
Huyo ni Malaya Tu kama Malaya wengineSasa muoaji yule kasema wife material wake ni perfect ila bado kazaa nje ya ndoa
Tatizo 1,3 sio sehemu ya materialWife material ni mwenye sifa zifuatazo
1. Alieshika dini
2. Mwenye sura nzuri
3. Tabia njema
4. Mwenye mali au pesa
5. Nasaba nzuri
Ukimpata mwenye vyot hivyo umeopoa ila sio lazima awe na vyote ila 1,3 ni muhimu sana
Kwahiyo ili iwe "material" inatakiwa iwe "tangible"?Tatizo 1,3 sio sehemu ya material
Hii sio sahihi. Huyu sio material kabisa. Huyu atakuwa kundi la limbukeni ambao siku wanajanjaruka hawashikikiAccording to Africans, wife material ni mwanamke fala who behaves like a sheep, yeye kila kitu sawa mme sawa mme okay mme, haruhusiwi kufanya kazi wala kuwa huru na shughuli zake ila kusikiliza tu mme muda wote.
Ni mwanamke fala ambae hana sauti ndani ya nyumba hasikilizwi anaeishi kwa kunyanyasika ila yupo tu yeye anadai anavumilia.
I guess am right Jadda say something about wife material 😅
Tafsiri wa Gen zNdio maana halisi. Sasa material kuanzia muonekano, anavyojituma kwa shughuli za kifamilia, lakini pia anavyoonyesha juhudi kwenye kipato