Wife kanitibulia kwa mchepuko

"Mchepuo" wa science au art mkuu?
 
Heshimu ndoa yako

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Nishasahau ila usiombee maana mtu analala na nguo saba upande haguswi, ukiomba tu unaambiwa ' akakupe huyo mi nimezeeka'

Post sent using JamiiForums mobile app
Ni shida wakwangu aliondoka akaenda kwao wiki nzima anapiga Cm kwa ndugu zangu anawambia tumehachana kwangu harudi tena alirudi mwenyewe

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Panga nae miadi, akiingia kingi unatupia mistari ya kumlainisha!! Jitahidi kutoa hata chozi na kakamasi kwa mbali akuone unaongea ukweli, atakuonea huruma!!
 
itakuwa ngumu kukubali tena km kajua una mke ila nivizur ukarudisha mapenz kwa mkeo may be kakuepusha na maradh

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Pambana na hali yako, kwani mkeo hakutoshi?

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
 
mwambie mkeo ampigie tena mchepuko wako amwambie hatomroga tena ili ukubaliwe ombi lako.
 
itakuwa ngumu kukubali tena km kajua una mke ila nivizur ukarudisha mapenz kwa mkeo may be kakuepusha na maradh

Post sent using JamiiForums mobile app
Asante mkuu nitajitahidi

Post sent using JamiiForums mobile app
 
mwambie mkeo ampigie tena mchepuko wako amwambie hatomroga tena ili ukubaliwe ombi lako.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji1]

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Baki njia kuu
Achana na mchepuko[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Fuata ushauri huu nadhani utakufaa...Maradhi mengi mkuu hivyo huna budi kutuliza ki*ba*mia chako [emoji23][emoji23][emoji23]
 
mkuu haya mambo magumu michepuko mingine huwa inadatisha

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Baki njia kuu

Sent from my SM-N910C using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…