Wife kanishitaki polisi

Kaka huna mke hapo huyo jambazi mwanamke alofundwa na heshima na adabu katu hawezi kukimbilia police

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitendo cha kukufikisha polisi tayari amekosa sifa ya Kuwa mke. Kama kweli ni kibao kimoja au kama umemvunja mguu sawa ni halali akupeleke huko. Kama ni kibao kimoja mtupilie mbali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakika umeonyesha u-legend mkuu. Mfungua uzi, chukua huu ushauri isee.
 
Wanawake siyo wa kupiga unapiga kwa akili...siyo kwa mikono ukikuletea ujinga unatumia akili kumshikisha adabu hata kama itakugharimu kisha unakaa kimya...kupiga kwa sasa ni hatari utakaa jela...
 
Aliekwambia mwanamke ni ngoma ya kupiga ni nani? Yeye si mwandawazimu akurupuke na tuhuma burebure lazima kuna mazingira hatarishi toka kwako na hao anaokutuhumu nao.

Jitazame upya tabia zako!
We hujaoa na kama umeoa basi umewekewa limbwata, kumpiga kibao mkeo sio ukatili bali ni kumkumbusha atii sheria bila shuruti. Wale wanaowapiga wake zao had wanavimba ndo makatili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chif hapo mke huna ila una mwanaharakati wa ndoa, nakushauri uendelee kutafuta mke wa kuoa, ni heri ukabaki na mwanao kuliko kukaa na mtu wa aina hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…