"haya mambo ya haki za wanaweke ni tabu tupu....jana nimemchapa kibao wife..tumezaa nae mtoto mmoja miaka miwili sasa..leo asubuh kaamka kumbe kaenda polisi kunishitakia.jioni hii napata barua ya kwenda kesho polisi.sababu ya kumchapa kibao ni maneno yake machafu ya kila mara ambapo nilishamkataza asiwe ananiambia kwan ananikwaza,,mara ooh ww malaya..unatoka na mama mwenye nyumba,,mara mwanae..kitu ambacho si kweli..na zaidi mzee mwenye nyumba maneno hayo alisha mkataza kwan cyo kweli na wala syo mazuri"
wadau nishaurini..nn nifanye kesho pale polisi..na hadi sasa hayupo home na wala sijui yuko wapi.je polisi kwa matatizo km hayo ya ndoa huwa wanasimamia wapi?