Wife kanibadilikia, msaada pls

kwa ufupi kuna 'kidumu'take care...
Mkuu hapo umenena.. Kiukweli unatakiwa ukae naye chonjo maana kwa sasa huyo mkeo anakiburi kwa kuwa anajua ana haki zote hapo, hata we ukitaka kutengana naye anajua ni lazima mtagawana Mali tu..hii pia inaweza kuwa chanzo cha yeye kuwa na kiburi..vinginevyo atakuwa na kidumu huyo.
 
mkuu pole sana,
usikate tamaa mkalishe keo chin kwa utaratibu na upole mkubwa ukionyesha unavyokerwa na tabia yake mpya, alaf uangalie reaction yake.
Inawezekana yy hajui km kabadilika na anakukera kwa tabia yake hiyo.
 
Mkuu hapo umenena.. Kiukweli unatakiwa ukae naye chonjo maana kwa sasa huyo mkeo anakiburi kwa kuwa anajua ana haki zote hapo, hata we ukitaka kutengana naye anajua ni lazima mtagawana Mali tu..hii pia inaweza kuwa chanzo cha yeye kuwa na kiburi..vinginevyo atakuwa na kidumu huyo.

Binadamu bwana!
 
cheupe sr

Nashukuru kwa ushauri maridhawa mkuu,majukumu yapo mengi tu ambayo kama nilivyosema awali tuligawana na mambo yalikwenda vyema lkn sasa hivi ndio nimesusiwa kila kitu mwenzangu hataki ushirikiano kabisa,when it comes to money basi sisi si mwili mmoja tena.
 
Last edited by a moderator:
Pole sana...

ila cha msingi mkae chini umuulize shida ni nini...? mbona kabadilika..? au na wewe umebadilika... like kuonesha unampenda zaidi after ndoa...? She should know kila mtu anaroles katika ndoa. (Hata kwenye kuexchange vows alikiri na kuahidi kuwa atakuheshimu)

"Hata kama unampenda sana mwanamke, asilitambue hilo" -Maneno ya Bibi yangu.
 
user-online.png
M-bongotz
hilo ni tatizo ambalo wanawake wanalo hasas wanapopata pesa bila kujali ni kiasi gani

kwa case hii nadhani huyu anaweza kuwa na mtu (mwanaume mwingine); marafiki wabaya wanapenda kumpoteza bila yeye kujijua,; au ni mja mzito

solution: tafuta muda mzuri kaa naye mkumbushe yote mazuri ya nyuma kisha mweleze mabaya yake ya sasa kama hata elewa mtafute ndg yake anaye mheshimu kisha jadili kwa pamoja

kinga ni bora zaidi it is better ukamuwahi kabla hajaharibika zaidi.

KUMBUKA UKIANZA KUMTAFITI UTAUMIA SANA NA UTAJITESA MNO
 
Mkuu hili ni tatiZo la kitaifa, naamini ni mda tu akiona afanyayo ni ubatili ataacha mwenyew but ukiweza kufanya kama mwanaume kweli fanya tu huduma zote toa achana na zake. Hata mimi imenikuta na haya ndo nimeamua kufanya.
 
pole sana ndugu......

Kwenye ndoa mwanaume lazima uwe mwanaume, si mkimabavu la hasha........
Mke keshabadilika kaa nae zungumza nae mwambie mabadiliko yake, mueleze wazi na mwambie hao walimu aliowapata mtaani watamwaribia ndoa yake.........

Kuhusu gari, mweleze wazi aweke mafuta mwenyewe akikataa lichukue mpatie driver aifanye tax au ukiona atamsumbua dereva uza gari......

Baadhi ya wanawake wanadanganyana sana mitaanimau kwenye facebook groups na kama mke hajui kuchanganya na za kwake ndo matatizo yanapoanzia......... Mrekebishe
 
Naona hii ndoa inaelekea kuwa Ndoano..hebu soma update kwenye ile thread ya kwanza.
 
Kama mambo yako jinsi ulivyoyaleta hapa; namaanisha (nikiruhusiwa kuazima kauli ya Mbu), if your truth is the truth; kwa maoni yangu huna mke!

Lkn nani anaujua ukweli kama ulivyo, kama si wewe? Chukua hatua, meaning kama umechangia hiyo hali, unchangia ili kurudisha hali ya awali, kama hujachangia jievaluate, waweza vumilia au not. Na kama huwezi vumilia, the earlier the better kabla twins hawajaumbwa na kutengeneza total no of 3 children!
 
Last edited by a moderator:
wanawake wa bongo bwana pasua kichwa.Ndo mana mimi nipo nipo mpaka ndoto yangu ya kuoa mtoto wa ki puerto rico zitimie.mimi bongo ladies wamenishnda..daah pole mkuu,ndo life vumilia tu.
 
kwa ufupi kuna 'kidumu'

take care...

It is too early to generalize and zero inn mkuu......any clues???

Baadhi ya wanawake wakijifungua huwa na visirani na kujali sana mtoto kuliko mume ukiwa huna busara hapa wawezaanzisha mtafaruku usio kuja kuzimika

Mke akishajifungua wanaume wenzangu you need to adjust yourself na kukaa mkao wa baba zaid........

My take ; Inahitaji busara saaana na utulivu ili kupata suluhisho la kudumu hata kama ni kumtimua then you need solid evidences beyond reasonable doubts.....sio kutimua Jmosi halafu Jtatu uko kwao kuomba suluhu
 
Mkuu hapo umenena.. Kiukweli unatakiwa ukae naye chonjo maana kwa sasa huyo mkeo anakiburi kwa kuwa anajua ana haki zote hapo, hata we ukitaka kutengana naye anajua ni lazima mtagawana Mali tu..hii pia inaweza kuwa chanzo cha yeye kuwa na kiburi..vinginevyo atakuwa na kidumu huyo.

Acha kupotosha bana mali gani watagawana hapo na unasikia wanagawana elfu kumi asubuhi ya mafuta.......wanadaiana hela alotumiwa bibi kijijini....wanadiscuss mpaka diapers.......kun nini cha kugawana hapo?????

Hii ni ndoa changa inapitia changamoto za kawaida sana hapo wanavunja mayai ili kuoka keki so ni kuyavunja tu kwa idadi inayotakiwa ili kupata the best out of an oven tena mume ndo amshikishe mke awe mvunjaji mpaka wapate watakacho

Mkuu mtoa mada hii ni changamoto tu na atakuheshimu kama baba yake baada ya wewe kuweza kutuliza hiyo mawimbi sababu wenzetu hawa hupenda mwanaume strong na decissive.....sasa ukilega tu hapo the legacy will be hers

Komaa mkuu mtoa mada kama ni majukumu ulianza kwa mahari....nguo za harusi....kodi ya hapo mnapokaa (kama mmepanga) na hata wakati wa uchumba yawezekana Guest ulikuwa unalipa na gharama za kumrudisha kwao......gharama ni sehemu ya kuitwa baba ukikwepa hapo ndo utaitwa mzazi mwenzangu

Ntarudi bdae
 
Mimi midume mingine huwa siielewi. Yaani huyo anakuletea huo upuuzi nawe unamuona tu!!!!! Anaenda kulala chumba kingine eti kisa ulimunyima hela ya fuel wakati nayeyeye ana mshahara?

Tatizo wa kiume wa siku hizi huwa mnaruhusu wanawake wafahamu tabia zenu zote....Usiruhusu mwanamke akuelewe tabia zako, kila siku badilika kama kinyonga. Lakini pia huyo binti anajua unampenda sana na kwa upumbavu wake badala ya kutumia hiyo fulsa kuimarisha upendo yeye analeta mbwembwe.

Akili mukichwa wewe mtoto wa kiume.
 
Back
Top Bottom