Al-shabaab
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 1,791
- 620
Habari zenu wana MMU.
natumaini mu wazima wa afya leo ningependa kujua juu ya uchumba kati ya mwanamke na mwanaume kabla ya kuoana sababu
ukiongea na wakubwa zetu watakwambia uchumba wetu ulidumu miaka mitano?
lakini vijana wa siku hizi uchumba wenu haukai muda mrefu mmeshaoana.
-je kunamantiki yeyote ya kuwa na uchumba wa muda mrefu before ndoa?
faida zake ni zipi na hasara
nawasilisha
Unachosema ni kweli. Hekima hiyo anaeweza itumia ni mzazi anaejua maadili ya ulezi kwa mtoto/watoto wakeinategemea na ninyi watu wawili wakubwa wanaweza kukudanganya pia ,.. ni yale yale kila mzazi alikuwa wa kwanza darasani je aliyekuwa wa mwisho alienda wapi?
Inategemea na mtu,some take advantage for it,ya kukuingiza kwenye uchumba sugu na kukushusha thamani(anakuchujisha hadi uzeeka especially women)
Unachosema ni kweli. Hekima hiyo anaeweza itumia ni mzazi anaejua maadili ya ulezi kwa mtoto/watoto wake
Habari zenu wana MMU.
Natumaini mu wazima wa afya leo ningependa kujua juu ya uchumba kati ya mwanamke na mwanaume kabla ya kuoana sababu
Ukiongea na wakubwa zetu watakwambia uchumba wetu ulidumu miaka mitano?
Lakini vijana wa siku hizi uchumba wenu haukai muda mrefu mmeshaoana.
-je kunamantiki yeyote ya kuwa na uchumba wa muda mrefu before ndoa?
faida zake ni zipi na hasara
Nawasilisha.
Siku zote ukiwa unapenda vitu 2 chagua kile cha pili sababu ndio utakuwa umekipenda zaidi.So wa 9 yrs lazima alipenda cha 2.Wengine walikaa miaka 9 kwenye uchimba baadae mwanaume
akafalll kwingine anasema after 9 years there is nothing new abt her
Wengine walikaa miaka 9 kwenye uchimba baadae mwanaume
akafalll kwingine anasema after 9 years there is nothing new abt her
Sidhani kama mtoamada upo sahihi. Wazee wa sasa (vijana wa zamani) walikuwa wakichaguliwa wake na wazeewao. Na immediately baada ya hapo walikuwa wanaoa...hiyo miaka mitano ya uchumba si kweli
Ndio ni mkataba wa milele hasa kwa wakristo kwahiyo usikurupuke kungia kwenye huo uhusiano kama hujamfahamu mwenza wako vema, na kumfahamu vema inahitaji si chini ya miaka mitatu mpaka 5, na bado utakuwa hujawafahamu yote mpaka muoane mzae watoto muwe na majukumu ya kulea na kusaidia ndugu wa pande zote
Ni kweli kabisa. Lakini pamoja na hayo yote ya uchumba kukaa muda mrefu wazee wetu pia waliweza kuvumiliana hadi siku ya ndoa bila ya kukiuka katiba linapokuja swala la amri ya sita
siku hizi naona hii mambo imeisha sababu siku hizi mtu anafunga ndoa anamimba tayari
Watu wanataka jua binti anashika ujauzito au tasa?!siku hizi naona hii mambo imeisha sababu siku hizi mtu anafunga ndoa anamimba tayari
Lazima uonje kitu isije ukauziwa mbuzi kwenye gunia.