Wife Anazingua

Tafuta wazee wakufundishe kuandika talaka kama wewe hujui, kama hata sababu hana kwa nn hg aondoke? Halafu angalia na ubinadamu kwa huyo unayelazimishwa kumrudisha pengine wazazi wake walijua wamepata ahueni afu umrudishe tu bila sababu ya maana utaonekana huna msimamo na mswahili, utapata mikosi tu kwa manung'uniko ya huyo binti kama mtamwondoa bila sababu ya msingi,
 
nyumba yenu haina idara?
kuna vitu lazima mkeo ndo awe HoD.
laaazma!!
mojawapo ni hili la nani anafaa kuwa hg na nani hafai!!
na kama hafai
sababu tunazijua wenyewe
 
yawezekana mimba ndo chanzo mwache tu mdada aondoke.
 
kaka nisamehe kwa ushauri wanguashakum si matusi,huenda huyo hg kamfunika mkeo so machale yamemcheza ukitaka ndoa yako idumu achana kujihusisha na mambo ya mahousegal hao bosi wao ni mama cha msingi kazi za ndani ziende na awe na adabu kwako
 
Sio madudu jaman.Mungu amewapa wanawake macho ya kuona vitu ambavyo wewe kama mume huwezi kuona kwa haraka.huwenda kuna vitu ameviona.

Ndo maana nimemwambia atulie aongee nae vizuri....Lakini hata ningekua mimi ningeweka ngumu, huwezi kusema tu humtaki bila sababu ati
 
Imekaa hivi
  • Nina mtoto mmoja wa ujanani (5) Sikuzaa na mke wang
  • Wife mjamzito (Mimba ya 1)
  • Wife ni mama wa nyumbani

muonekano wa binti ukoje? inawezekana mama katishika na muonekano wa binti, na pia inaonekana mkeo hakuamini kutokana na nyendo zako na inawezekana pia haamini kama umemtafuta kwa ajili ya kazi ( kazi inaweza kuwa geresha tu) kutokana na sifa alizo nazo. ushauri kama utaamua kukubaliana na mkeo kumrudisha binti basi jukumu la kutafuta mwingine mwachie yeye atafute wa sifa anazotaka yy ww uhusike kwenye kuwezesha masuala kama ya nauli kama yatakuwepo.
 
Baba ni kichwa cha familia so unatalajiwa kuwa miguu ya familia!
 

Naomba Tafadhali Nina shida na House girl
 
Anayeshinda na msichana wa kazi ni wewe au yey?

Anayempangia kaI ni wewe au yeye?

Unajua mkeo kaona nini au kahisi nini mpaka ang'ang'anie hg aondoke? Au mpaka watoto (of course sio wewe unayeenda labor, kwa hiyo swala la uchungu halikuhusu) wawekwe kwenye friji ndo utajua kama hg hafai?

Ulipaswa ukae chini na mkeo mzungumze ujue kaona viashiria gani mvimalize, sasa unataka mkeo aondoke una maanisha niji? Kuna nini kilichojifichankato yako na hg?

Kumbuka hg ndo mwangalizi wa karibu wa nyumba, kama kuna dalili mbaya mkeo kazihisi ni vyema kutatua kuliko kuleta ubabe usio na maana, 100,000 ni kubwa kuliko ustawi wenu? Thamani ya maisha yenu ni 100,000??

Next time mwachie mkeo mambo ya hg, hayakuhusu wewe kinachokuhusu ni kutoa hela tu

Ila nimekushangaa, badala ya kumuwaza mkeo unawaza rafiki zako watakuchukuliaje? Unayajua maisha ya ndani ya rafiki zako? Si ajabh wanapigishwa deki na wameuchuna

Next time jifunze uanaume sio ubabe bali ni busara
 
aiseeee

kweli
wewe ni maskini Wa Akili sasa utaendaje kuleta
h.girl aliemfunika wife?? alafu mbaya zaidi katoka Bk, na alieongoza
show nzima ni wewe..

kazi unayo.

kinachomsumbua wife ni wivu, kapata hofu ya wewe kutembea na huyo binti
na hawezi kukwambia live.

siku ingine mwachie atafute mwenyewe
 
Last edited by a moderator:
ninavyojua mm ni kuwa hapo ww msikilize huyo mkeo maana ndiye mwenye nyumba hapo na ndio mhusika mkuu
usilete shida kwa msala upitao ,tafuta hata kwa mtu mpeleke huko afanye kazi linda ndoa yako.
 

ndoa kazi....n'way alishastuka kuwa unaweza kupita,pengina anajua una kauzoefu hako
 
nyumba yenu haina idara?
kuna vitu lazima mkeo ndo awe HoD.
laaazma!!
mojawapo ni hili la nani anafaa kuwa hg na nani hafai!!
na kama hafai
sababu tunazijua wenyewe

Ameshikilia yeye idara zote, si unaona anaogopa kupandwa kichwani?
 
Unajua nin kaona labda HG ni mkali. Afu kasikiaga kuwa huwa wanavunjaga ndoa. Komaa kaka
 
Imekaa hivi
  • Nina mtoto mmoja wa ujanani (5) Sikuzaa na mke wang
  • Wife mjamzito (Mimba ya 1)
  • Wife ni mama wa nyumbani

kumbe wife mjamzto nw jibu limekuja possibly ndio chanzo maana wanawake wengne wakiwa na hyo hali no sheedah!
ushaur either mpleke kwa mtu mwengne au mrudishe
onyo usjiingze tena kwenye habar za kuchagua hg akija we toa mshahar wKifukuzana watajua wenywe
 
Hakuna mzigo kwa mwanaume kama kuwa na mke asojitambua; mimi kwanza napenda hg mzuri, ili si kila mgeni akija basi ajue huyu hg. Wewe mrudishe hg kwao, isiwe tabu;

next time usirudie kumtafutia mkeo hg, hiyo ni biashara yake;

mwache akipigika atajua kuwa hg awapatikani kirahisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…