Wife ana PID iliyokomaa.

Wife ana PID iliyokomaa.

Kaa chini na mkeo mwambie akwambie vizuri kuhusu historia yake ya mahusiano ya nyuma akuelekeze na akwambie ukweli wa dhati.

PID ni ugonjwa nadra sana kuwakuta mabinti ambao wametunza nyuchi zao.
PID ni ugonjwa nadra sana kuwakuta mabinti ambao wametunza nyuchi zao.
 
Kuna imani potofu sana juu ya baadhi ya mgonjwa watu kutokana na kukosa suluhisho au eneo ugonjwa unatokea basi mgonjwa hupata kashfa kwamba alifanya Mambo mabaya in short anageuka victim kwa unyanyapa. Kama P.I.D ( Pelvic inflammatory disease) au Candida huweza kumtokea yeyote hatakama ni sister wa kanisa cos kuumwa husababishwa na sababu mbalimbali hasa sababu kubwa ikiwa ni hulaji maana kwa hivi Sasa watu wengi hula vyakula ambayo havina virutubisho vyakutosha hivyo Kinga ya mwili huweza kuporomoka na kusababisha mwili kushindwa kujitibu wenyewe au uzalishwaji wa asidi mwilini kuongezeka kutoka na na ulaji wa vyakula vya viwandani au GMOs products, hivyo hupelekea mwili kuwa na inflammation (excess in mucus after mucus membrane be compromise due to lacks of oxygen in the cells).
Na ukiangalia bàada ya kuingia mbegu za muda mfupi / GMOs au bàada ya kushamiri vyakula na vinywaji vya viwandani haya magonjwa kama uvimbe wa kizazi, nguvu za kiume, cancer, kisukari, n.k vimekuwa common hata watoto wanazaliwa ilihali wanaumwa tayari i.e diabetes, cardiac arrest, etc
Hivyo huna haja yakumlaumu mwenzi wako au ndugu au rafiki kwa kuumwa hayo magonjwa ni vizuri tukawasaidia wapate suluhisho.
Kuhusu watoa huduma za mitishamba kutokuwa wahaminifu kwa kutoa huduma ya chini ya kiwango na mgonjwa asipone au kutaza ghali hili siwezi kukanusha ila haliwezi toa ukweli kuwa MITISHAMBA NI TIBA YA KWELI sababu zimekua zikitibu jamii ya mwafrica tangu na tangu kabla ya kuweko na hizi hospitals/ conventional medicine na isitoshe hata huko hospital pia sio Kila wakati mtu hupona wakati mwingine wanafeli pia. Kikubwa nikupata mtu unayemuamini au ambaye umepata referral kwa mtu aliyetibiwa naye au njia nyingine zinazoshabiana na hizo.
Kwa upande wangu Kuna watu humu jf watakuwa mashahidi kua niliwapa dawa na tukashiriana mpaka wakapona na wakati mwingine kutafuta tiba nyingine kutoka na tatizo kuonekana ni NJE ya tabibu za kawaida na mtu anapona maana zipo kanuni mbalimbali zakutibu. Kanuni ya kwanza ikifeli basi hutumika kanuni nyingine ( mfano unaweza kuwa na mgonjwa hospital na bàada ya kutumia gharama kubwa MD akakuambia hatuoni tatizo na tunaona sio ugonjwa wa kawaida basi jiongezeni eneo lengine, je hili hulipo?)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom