WI-FI

teac kapex

teac kapex

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2011
Messages
235
Likes
15
Points
35
teac kapex

teac kapex

JF-Expert Member
Joined Jan 23, 2011
235 15 35
Naomba kujua hivi wifi inafanya kazi umbali gani? Je nikitaka kuconnect wifi na mtu aliye umbali wa mita 900 inawezekana kama sio ni umbali gani sasa unaofaa
 
Jitu jeusi

Jitu jeusi

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2015
Messages
1,295
Likes
1,535
Points
280
Jitu jeusi

Jitu jeusi

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2015
1,295 1,535 280
Naomba kujua hivi wifi inafanya kazi umbali gani? Je nikitaka kuconnect wifi na mtu aliye umbali wa mita 900 inawezekana kama sio ni umbali gani sasa unaofaa
Inategemeana na aina wi-fi ila nyingi n meta 100.... kuhusu kufanya kazi hapo kasomee kozi husika
 
Chenchele

Chenchele

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2016
Messages
1,441
Likes
1,528
Points
280
Chenchele

Chenchele

JF-Expert Member
Joined Dec 27, 2016
1,441 1,528 280
Mkuu range ya mawimbi ya Wi-Fi kutoka wireless access point (WAP) au routers inavary kwa device tofaut, mfano range ya signal inategemeana na
1. protocol au sheria ya urushaji mmawimbi
2. strength ya transmitter ya kifaa husika
3. interference katika surrounding area kama ukuta n.k.

commonly Wi-Fi inatumia free access waves za bluetooth ambazo kila mtu anatumia bure katika electronic device yake.. bluetooth hailipiwi. Range yake infrared waves (Bluetooth) commonly iko around 2.4GB bandwidthambayo range yake inaenda around 46m indoor na appr. 92m outdoor from the transmitter, so unaweza kushare, kuchezea data wherever you can katika range hii...ukitaka kushare data beyond this range say 1000m ambayo itahtaj bandwidth kubwa zaid ya 2.4GB sharia ya urushaj signaL itakubana na utatakiwa kuregister hayo marusho yako kama radioFM au TVsignals eg radio free...

SIJUW HATA HAPO UMEPATA KA MWANGAA AU ?
 
Asante sana nimepata mwanga kwa kiasi fulani
 
Forum statistics

Threads 1,236,851
Members 475,301
Posts 29,269,760