WI-FI Hotspots in Dar?

Kitia

JF-Expert Member
Dec 2, 2006
418
74
Napenda kuuliza ni sehemu zipi Dar es salaam ambapo kunapatikana WIFI hotspots ambazo ziko wazi?
 
Udsm baadhi ya maeneo , breakpoint , ubungo plaza , ppf tower upande wa kusini , dit , nkuruma pale exim , habour towers , sayansi
 
what is that! nitoeni ushamba plz!

Sio ushamba. Ni internet bila kutumia waya. Kwa ufahamisho wa kitaalamu bonyeza [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/WiFi"]hapa.[/ame]
 
Mediteraneo near Kawe beach, Giraffe Hotel,JKIA,Slipway,Sea Cliff,Moevenpick Hotel, New Africa Hotel ( the best), Beachcomber
 
Asante sana kwa habari hizo, ingawa sehemu zingine ndio kwanza nazisikia...Giraffe Hotel... Beachcomber...
 
Inabidi kulipia au ni sehemu ya huduma kwenye hizo sehemu? Yaani, nikinywa kahawa naruhusiwa kusurf while doing that?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom