Jamani ningependa kufahamu bei ya WI-FI dongle kwa wale wanao fahamu kifaa hiki na wapi naweza kupata.

Kama unataka kwa ajili ya Decoder/Receiver ninazo nicheki PM
Sina hakika kama zinaweza tumika kwenye computer