gm man
JF-Expert Member
- Nov 26, 2017
- 1,177
- 1,456
Wakuu,
Tangia nime restore CM yang tecno w4 kila nikiconnect internet kweny PC inaniambia limited... But hapo nyuma haikuwa hvo
Jana nimejaribu kumconnect CM ya mtu kwa wireless yang iliandika limited but ikafunction vizuri..
Sasa naomba kutambua tatizo liko wapi?? Na solution yake