Teh teh teh.
Wanaume tumeumnwa,mateso oo mate so kuhangaika.
Haki ya mama,anayekula hela yangu lazima awe ameriski chochote kama mimi.
Kuna wakati katika harakati za kutafuta maisha nikawatembelea wachimbaji wadogo wa dhahabu kakola(kahama).kwakweli niliyaona ya firauni.kuna kazi ni za kozombie hiwezi fanya ukiwa normal.