Ni ubatili kwasababu miaka kama sabini iliyopiata mataifa hayakuwa kama. yalivyo leo. Nina imani kuwa baada ya miaka 30-50 ijayo hakutakuwa na taifa linaitwa Tanzania. Haya mataifa ni vitu vya kupita, ten haraka. Nina amini kwa asilimia kubwa kuwa taifa la Nigeria halitoboi 20 yrs mbele.
Pia utaifa na uzalendo ndiyo vilituletea WWI na WWII.
Umoja ni nguvu, utengano ni udhaifu. Utaifa na Uzalendo huleta utengano. Brexit ni mfano mmoja wapo.