Haya maisha bwana sijui hata yakoje,wakati wengine wanatamani kupata mtu ambaye atamuonesha upende hata kidogo tu,wengine wanaachana na watu ambao wanawapenda kwa dhati,wengine wanatafuta wake/waume wa kuoa au kuolewa nao wengine wanapeana talaka.Na wewe jamaa wenzio wanataman hata waone missed calls za wapenzi wao ili wawapigie,wewe unalalamika umechoka kupokea simu.