Why wananiita a powerful man...

Yani nikajua utazungumzia ada za shule na shibe za familia unataka waridhishwe kitandani ni haki hii?

Bila kula utakufa bila kuridhishwa utapata madhala gani?
Wewe unadhani alikuwa anajisifia nini kwenye hiyo video?
Hadi akasema ana wanawake wanne?
 
Khaaaaaah dunia simama nishuke [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanawake wanadhalilishwa nao wamekubali tu
Wee jamaa umekosea hizo ni imani za watu wapo kwenye ndoa wamedhalilishwaje?

Msilazimishe watu waishi kama utakavyo.

Single mother mnawaponda ndoa ya wanee mnaponda tengenezeni dunia yenu mkakae
 
Wee jamaa umekosea hizo ni imani za watu wapo kwenye ndoa wamedhalilishwaje?

Msilazimishe watu waishi kama utakavyo.

Single mother mnawaponda ndoa ya wanee mnaponda tengenezeninduniabyenu mkakae

Ndoa za jinsia moja ndo wanazitetea..
Wazungu washawaharibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…