Why URT Has Never Had State of the Nation Address For a Couple of Years of Samia Tenure

The occupant of the topmost office is ineffectual. She is one of the eunuchs luckily found themselves in that office.
 
Nadhani jumuiya za kimataifa na watu wa nje wanaijuwa JMT vizuri na fursa zilizomo kuliko hata sisi raia tulioko hapa nyumbani. Ni kama nchi inatangazwa nje zaidi kuliko ndani, hii inaweza kufanya uchumi wetu kuwa exotic kuliko domestic.
Kwahiyo akiwa anahutubia nchi uchumi ndoutakuwa domestic?!
 
I don't know what you are talking about. Huyu Rais anaongea too much.
In fact,anaitwa "Dr."kwa ajili ya kuzungumza sana.
 
Back
Top Bottom