Aoeeeeeeso dada yako akiachana na mumewe asiolewe tena??
Sty tuned@@@@@sijaelewa hapo mwisho
Waganda wanamchukia tatizo anatumia nguvu nyingi sana kwenye media kutaka umaarufu na kuweka wazi lifestyle yake sasa hujui mbaya wako mwingine unakuta anatembea kwa miguu kwa miguu wewe unamuwekea magari kibao waafrika lazima wawe hivyo angetulia kimya wala asingechukiwa
wanasema ex wake farook ndo kaivujisha
Chukua link hapo juu
wamevujisha video na bado gazeti lingine doing this
SIONI SABABU YA KUMCHUKUA HUYU MREMBO
Haijawahi kutokea kuchukia bila sababu........!!!why uchukie bila sababu
Takwenya? Alabiotoo? Fanya mambo hyo video na mimi nipatapo kuiona mwanawani
Hiyo video inamuonyesha akiwa na Diamond? au mtu mwingine?..
Heaven on Earth unaitwa huku.
Haijawahi kutokea kuchukia bila sababu........!!!
Nimeipatapo mama yeyooo ila huyu sio zali ze boss lady awez kuwa mchafu hv kama yule dada yetu wa komwe aisee
wamevujisha video na bado gazeti lingine doing this
SIONI SABABU YA KUMCHUKUA HUYU MREMBO
Mimi ninayo nimetupiwa whatsapp anayeitaka anipm
Ni yeye....... kamsome Instagram kama una account
anacholalamika ni who leaked the video..., hajakana kama si yeye
sasa nyie wengine mnaosema sio yeye mhhhhhhhhhh
Ni kweli.......lazima kuna sababu...........
nimeiona mara moja sikururdisha jicho tena
nimetumiwa wasap nikaifuta papo hapo
sijajua ni nani japo wadau walianza kumshutumu Farook ex bae wake
ila farook kakana kwenye ukurasa wake wa fb kasema sauti si yake