nadhani wawili
but what is wrong with having kids?????????
i love this chick for no reason cause i gat none to hate her
Ha ha ha.. masai dada.. bado waafrika tunaishi kwenye stone age when it coms to issue ya aina hii.. Tena wewe kama wifi unaweza kunung'unika kaka yako akimleta mchumba aliezaa watoto kadhaa nje tayari..
Come down waganda wote, hapa sisi huyo zarizarina keshakua shemeji yetuuu
Na msanii mwingine wa bongo alete shemeji toka Nigeria na mwingine tunamtaka shemeji dada wa kisauzi.
Ni mwendo wa projects tuu.
Haters hua wanaongeza umaarufu ila hawajui.
Mimi ninayo nimetupiwa whatsapp anayeitaka anipm
Mi sijui na pm vip kwa simu yangu ya kichina. Pls naomba uni pm ww.
hiyo video na hizo comedy na hayo maneno yametokea uganda
hapa tz am not sure also why wanamchukia but najua may be due to sepetu
but WHY ALSO UGANDA??
kama mimi hitamu accept mume ,wenye watoto why yeye asini accept mimi na watoto wangu
hai make sense bado tunaishi kitumwa sana
hahahahhaha aisee una hatari sana wewe
I see, jamaa kaitendea hadi taswira ya ndomo.wamevujisha video na bado gazeti lingine doing this
SIONI SABABU YA KUMCHUKUA HUYU MREMBO
Masai dada natokea Pwani pia please nisaidie hiyo pilau!
Kwani kule Big Brother hakuna dem wa kiganda Iddriss nae afanye yake? Mbona Okwi na Kiiza wanakula ss hatumaindi?
I see, jamaa kaitendea hadi taswira ya ndomo.