The Priest
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 1,029
- 259
- Thread starter
-
- #21
Duh kumbe ni kweli,basi hili jambo inabidi lipingwe vikali,graduates wa udom ni wazuri tunawafahamu,wapewe ajira kama wanafunz wa vyuo vngne!Kwa uelewa wangu juu ya mambo ya elimu,kinachofanya product ya chuo fulani ikubalike sokoni ukiacha mambo ya propaganda ni Waalimu walio na sifa stahili (lecturers),Vifaa vya kujifunzia vinavyokidhi mahitaji na ubora,condusive learning env. na kubwa zaidi muda wa kutosha wa mazoezi kwa vitendo (field attachment,Internship etc).Swali la msingi UDOM inakidhi vyote???? manake tusidhani kua kuwa na majengo mazuri mabweni yenye viyoyozi na maprofesa wengi ndio vyaweza kufanya Institution flani kua reputable na wahitimu wake...kama ndo mtazamo wetu huo basi tunahitaji mtaalamu wa kutufundisha namna ya kufikiri......manake hata ukasoma degree kwa 6 yrs bila practice you are full of academics but no practical skills!
nawasilisha.
Mie nimegraduate pale! ishu hii haipo bana, majungu kila kukicha UDOM!! àcheni izo bàna, angalieni maisha yenu.
mimi nimegraduate udom na nilikuwa nafundishwa na baadhi ya walimu wa udsm na wengine frm sua vipi hao nao. Then kuhusu issue ya field udom inakozi zaidi ya 50 ila zisizofanya field ni chini ya nane tena zinatoka social science. Vipi hawa wanaofanya field nao? Maneno ya kusikia sio mazuri. Hatuwezi kukataa mapungufu coz ni chuo kimpya na hata hao udsm walikuwa na baadhi ya kozi miaka ya nyuma walikuwa hawafanyi field. No research no right to say.World Vision walitangaza kazi na wakasema execept UDOM ni uweli kabisa na hoja kubwa ni quality ya graduates wa UDOM ambao hata field hawakuwahi kwenda na zaidi kufundishwa na walimu ambao ni undergraduates na wasio na sifa, kimsingi UDOM ni bila bila bomu linalokuja kulipuka soon
Labda kuna ukweli wajamen,mfano me kuna ndugu yangu anapga pale udom bachelor of commerce,aliniomba nimpelekee barua yake ya maombi ya fild kwenye shirika flani la umma,nkapata bahati ya kumit na manager,thn akanichana live kwamba wenyewe wanachukua madent toka udsm na sua 2..bt ni mtazamo wa wa2 2 as hamna tofaut yoyote kati ya m2 from ud,sua,na udom..
World Vision walitangaza kazi na wakasema execept UDOM ni uweli kabisa na hoja kubwa ni quality ya graduates wa UDOM ambao hata field hawakuwahi kwenda na zaidi kufundishwa na walimu ambao ni undergraduates na wasio na sifa, kimsingi UDOM ni bila bila bomu linalokuja kulipuka soon
sasa wanawakomoa wahitimu au chuo? Kosa la wahitimu ni nini?mkuu mleta mada anaficha ukweli.
Kutokana na maelezo yake inaonekana alikuwepo kwenye kikao kisicho rasmi kilichofanyika wiki inayoisha ambapo waajiri hasa wa taasisi za fedha wameazimia kutowachukua wahitimu wa udom na koleji moja iliyo karibu na city centre na ina matawi mikoa mingine kuwa wanafundishwa na digrii holders badala ya wa masters na PhD.
Niliogopa sana badala ya kuambiwa wazi na hao wahusika kuwa hata mamlaka ya mapato imeshaweka bayana kutowachukua wahitimu wa Udom. Wenye kukataa wakatae,wenye kuelewa waelewe.Udom si pa kwenda tena!
UNIVERSITY OF DSM IS THE ONLY UNIVERSITY IN TANZANIA...nimemnukuu marehemu Professor Haroub
management staff zaidi ya asikimia 50 wameteuliwa na kuajiriwa toka udsm, sua na ardhi.... Walimu wa full time zaidi ya asilimia 50 wametokea udsm na wa party time karibu wote wametokea udsm.... Acheni propaganda uchwara, hakuna chuo tanzania kinachojitosheza kwa kila kitu.... Na tuacha maneno ya kusikia....
nimehitimu toka udom na baada ya wiki mbili nimepata kazi.... Na nawajua wenzangu kadhaa walio ajiriwa hapa bongo... Sasa muache kuwasingizia waajiri.... Fikiri kisha ndo uanze kuropoka.... Kile ni chuo kikuu na sio urembo kama maua... Jamaa wengine sijui vipi humu ndani.