D Darlington New Member Joined Feb 7, 2012 Posts 1 Reaction score 0 Feb 7, 2012 #1 Kwanini watu hutambua umuhimu wa kitu/mtu pale tu kinapotoweka?
Dr Lizzy Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 31,010 Reaction score 60,483 Feb 7, 2012 #2 Kwasababu hawana utaratibu wa kuona kwamba walionao/walivyonavyo ni vitu vya maana kwasababu wameweza kuwa navyo. Vi/wakiwa sio vyao/wao tena ndio wanaona thamani na umuhimu wao.
Kwasababu hawana utaratibu wa kuona kwamba walionao/walivyonavyo ni vitu vya maana kwasababu wameweza kuwa navyo. Vi/wakiwa sio vyao/wao tena ndio wanaona thamani na umuhimu wao.
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 97,930 Reaction score 141,891 Feb 7, 2012 #3 Kuna Darlington na Darlingtone? Ama kweli kuna kaazi kweli kweli.
chriss brown JF-Expert Member Joined Nov 3, 2011 Posts 292 Reaction score 63 Feb 7, 2012 #4 We always left the GOLD,AND COLLECT THE STones!..