Why these questions are common for lovers..

Napenda mtu aniambie mimi nipo mahali X je wewe upo wapi?
Maana wapenzi wengine wanauliza hivyo ili apate uwanja mzuri wa kucheat!
 
kama ndo umeniambia mim nakuliiza...msalani kitu cha mpango mzima nini?

..ilishatokea bidada amemwandikia jamaa yake sms, "beiby kama umelala nirushie ndoto, kama unakula nirushie msosi..n.k"
jamaa akamjibu nakata gogo je nikurushie "kimba?"
 
..ilishatokea bidada amemwandikia jamaa yake sms, "beiby kama umelala nirushie ndoto, kama unakula nirushie msosi..n.k"
jamaa akamjibu nakata gogo je nikurushie "kimba?"
hahahahaha daaah umenchekesha kinoma...itakua wamezoeana sana hao watu kwa kweli?
 
Mbona mida fulani simu yako ilikua haipatikani?

AU

Simu yako ilikua inaongea muda mrefu,ulikua unaongea na mama/baba nini?

:A S 39: šŸ˜›hone: :A S 101: :A S 100: :cell: :suspicious:
:spy:

HAKUNA LOLOTE ZAIDI YA WIVU.
 
Sasa nimembana vipi na mie ndo nimetoa ruksa rasmi? Na hapo ujue sitopiga tena simu na akirudi home full matabasamu. Nna adabu mie nimefundwa kaka.
Ishaganitokea mara kadhaa, inakwaza sana..! Usiwe unamwambia hivyo bwana, anajihisi kama umembana sana.
 
Napenda mtu aniambie mimi nipo mahali X je wewe upo wapi?
Maana wapenzi wengine wanauliza hivyo ili apate uwanja mzuri wa kucheat!
Hapo inabidi umfunge GPS, au kama ana simu fulani turn on apps ya kuonyesha sehemu alipo ili umkamate vizuri
 
Kwa wengine ni kuonyesha kujali na kwa wengine ni machale kucheza labda njemba iko sehemu sehemu na wanaume wengine hawapendi kula mtaani lazima wakapate msosi maskani hivyo bi dada anapoona saa zimetokomea na njemba haijarudi basi huuliza maswali kama hayo kwa sababu moja au nyingine.




Upo wapi? Umekula?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…