Why the world is so unfair?

Why the world is so unfair?

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,456
Reaction score
872,092
1413856584691.jpg
 
Hana wazazi? Hana ndugu? Hana jamii....!!!? Hana kitu hajui apateje! Yupo mpweke na pekeyake...! Tunaposhiba tunawakumbuka hawa? Ukisema una matatizo huyu naye atasemaje? Tumshukuru Mungu hata kwa kile kidogo tulichonacho
 
Mungu mkubwa utakuta hapo kameshiba mpaka kamelala ila maisha yanatofautiana
Ana wazazi wake, na utakuta nyumba iko pembeni
 
Mungu mkubwa utakuta hapo kameshiba mpaka kamelala ila maisha yanatofautiana
Ana wazazi wake, na utakuta nyumba iko pembeni

Mmh picchu kwa hali hiyo ...sijui!!!!?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom