Tarime one
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 2,246
- 1,742
tatizo la tanzania ni kuigana idea akianza mmoja wengine wanaiga... wamekomaa kurusha vipindi kwenye tv
Umeongea point mkuu ni kweli sie tubaki kuangalia tbc
kuna jamaa nimeona clip zake anaitwa mc pilipili na mwingine jina limenitoka wanafanya live comedy sijui ni wapi wanaifanyia ila mara nyingi wapo kwenye sherehe,, kuna harusi moja mc pilipili alimchekesha bi harusi mpaka akakaa chini
Sie had tukwafkia wenzetu watakua washatoa mpya
Na bongo bado wanadhan uchekeshaji ni kuvaa vitambi vya bandia, mwanaume kuvaa uhusika wa kike, kujipaka masinzi na mengine kama hayo....Wenzetu Kenya unakuta na Eric Omond ama Mc Jessy kapiga suti very smart.....anakuchekesha kwa yale anayoongea kwa bongo nadhan huyu jamaa wa ze comedy huyu mweusi muhaya...huyu mwenye mandevu...huyuuuuu nan huyu bana....anyway nimemsahau jina lake kidogo ana misemo yake ukiisikiliza utajikuta unafurah.
Unajua mkuu huwa nikiangaliaga hiyo avatar yako ya sahan ya plastic yenye ugal na maharage halafu ni kama hayo maharage hajaiva na yako na wale wadudu wadudu.....mmmmmmh unanikumbusha mbali sana huwa nikikutano ha hiyo avatar yako huchukua kama dakika tano hivi kukumbuka enzi hizo had na watu tuliokuwaga nayo.....Nway nawapenda sana wakina Churchill show na churchill raw wapo creative sana kuna hilo kundi moja linaitwa ribs crack....wazee wa atteeeeeeention.....jamaa wapo step kama 2 hivi mbele yetu kwa kwel.umewahi kuwaona crew ya evans bukuku... wanafanya tofauti sana walipiga comedy na eric omondi ilikua balaa na sijawaona wakivaa vitambi vya bandia ni suti tu..
hahaha mwarabu wa dubai anakwambia denda nalo ni mate japo huwezi kuyanywa kwenye kikombe..
hiki kikundi kipo chini ya evans bukuku wanaitwa stand up comedy wapo wengi.. walikua wanafanyia mikocheni east 24 bar & grill.. sasa hivi sijui wapo ukumbi upi.
umewahi kuwaona crew ya evans bukuku... wanafanya tofauti sana walipiga comedy na eric omondi ilikua balaa na sijawaona wakivaa vitambi vya bandia ni suti tu..
hahaha mwarabu wa dubai anakwambia denda nalo ni mate japo huwezi kuyanywa kwenye kikombe..
Unajua mkuu huwa nikiangaliaga hiyo avatar yako ya sahan ya plastic yenye ugal na maharage halafu ni kama hayo maharage hajaiva na yako na wale wadudu wadudu.....mmmmmmh unanikumbusha mbali sana huwa nikikutano ha hiyo avatar yako huchukua kama dakika tano hivi kukumbuka enzi hizo had na watu tuliokuwaga nayo.....Nway nawapenda sana wakina Churchill show na churchill raw wapo creative sana kuna hilo kundi moja linaitwa ribs crack....wazee wa atteeeeeeention.....jamaa wapo step kama 2 hivi mbele yetu kwa kwel.
Unaweza kukuta wameishaacha, wabongo hatuchelewi kukata tamaa, hawajui before ufanikiwe lazima ujitoe kikweli kweli, unajua mtu mmoja aliniuliza why hupendi kuangalia movie za bongo, nikamwambia si kwamba sipendi but kuna kipindi najisikia aibu, hawako serious, huwezi cheza scene ya kijijini unalima huku umeweka wave kichwani au jambazi anakuvamia nyumbani anavua viatu anaingia ndani ya nyumba ha!!!reality ya picha haipo.
Kumbe tunakunywaga mimate mkuu
Loohh.....
Kuna comedian mmoja huwa yuko star time ana act kama muha, that one akipikwa vyema anaweza.
braza K au??