Why Tanesco missed a $300mn power project..(Source Guardian on Sunday) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Why Tanesco missed a $300mn power project..(Source Guardian on Sunday)

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by VoiceOfReason, Jan 9, 2011.

 1. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #1
  Jan 9, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Previously Published in March 2009

  My Take
  Speechless....
   
 2. Ngisibara

  Ngisibara JF-Expert Member

  #2
  Jan 9, 2011
  Joined: Jan 2, 2009
  Messages: 2,083
  Likes Received: 431
  Trophy Points: 180
  Yaani baada ya kubanwa jinsi ya kuhakiki pesa hizo za mradi wakaona bora watanzania wakae gizani, hawa jamaa ni wauaji wa taifa letu
   
 3. Profesy

  Profesy Verified User

  #3
  Jan 9, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 380
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Yani watu ni selfish,walikua presented na different options wakauchuna. Mungu awasaidie hawa majamaa maana inaelekea hawaangalia faida ya nchi ila ya watu wachache. Sad...
   
 4. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #4
  Jan 9, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  kama nilivyosema hapa hata la kusema sina....... ila nashangaa pamoja na haya madudu sijasikia mtu amewajibiswa na kuwekwa ndani... Hivi na huyu Ngeleja tangia ameanza kutoa ahadi zake ni ipi imefanikiwa? I think huyu bwana mdogo angewapisha wengine nao wajaribu naona kazi imemshinda
   
 5. A

  Alpha JF-Expert Member

  #5
  Jan 9, 2011
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 614
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Dr. Idris Rashidi the same thief who is linked to the Radar deal.

  What did you expect.
   
 6. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #6
  Jan 9, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  hii nchi bora iuzwe tu au turudishwe utumwani kwa wazungu, au tupige kura tuigawanye nchi kama sudani wa magharibi tuwe na nchi yetu wa mashariki kama wakwere wawe na ya kwao!
   
Loading...