Nilibet na BAK tu na alinihaidi akishinda atanipeleka century weekend hii nikaangalie movie
Nashukuru kwa hilo mkuu otherwise inabidi unihakikishie una bima ya kutosha incase of anything in ma life maana wengi wanaondokaga wakiwa lodge na mizinga kama hiyo .....ukiwa na bima kidogo inanipa moyo ndugu awapati shida kwenye jeneza zaidi kukodi wale jamaa zetu wanaolia
kwi kwi kwi
ayaaah wakware mkiongozwa na mr rocky hilo tufe ni balaah kabisa utafiti amka nenda job mkuu hilo litakumaliza damu... kabanga haya ndio mavitu yake hapo akikaa safiiii! #maishayenyewemafupitu ![/quote Kibo10 usikuwa makini watoto hawatapata nguo ya sikukuu aise angalia vyema maana tarehe mbaya hizi aise
du!!kila moja na stuli yake
sijasema kila mmoja ila kila moja...Kila mmojA nani sijaelewa kidogo
Amekalia mbili kwa mpigo!
Kioo, ha ....
Nimekumiss sana atiii!!Nilitaka kukuona
Dah! masai dada, nimetazama kwa makini nimeambulia patupu sijaona hata stuli moja
Mchina noma kweli
zieneiiii